msafiri hakuna barabara – machado in kiswahili

Msafiri, nyayo zako Ndizo barabara, sio vinginevyo; Msafiri, barabara haipo, Hutengenezwa kwa kutembea. Kwa kutembea watengeneza njia, Na ukiangaza macho nyuma Utayaona mandhari ambayo katu Hutarudi kuyapitia. Msafiri, hakuna barabara, Bali mawimbi baharini. ya Antonio Machado imetafsiriwa na Wangũi Kamonji Linapatikana hapa katika Kiingereza na Kihispania Huku nikifanya juhudi ya kulitafsiri shairi hili katika Gĩgĩkũyũ…

on travels and life

I’ve been back home for the past few months, and between applying for school, looking for a job, managing family pressures and expectations, as well as finding ways to share all I have learnt with the world, I have had to learn patience. A friend from IHP used to quote me a line from the…